WorldCat Linked Data Explorer

http://worldcat.org/entity/work/id/621891

Whispers in the sand

Filmmaker Lorraine Barbette breaks off her engagement and flies to Senegal to shoot a career-making documentary. While there, she meets and is attracted to a handsome diplomat.

Open All Close All

http://schema.org/description

  • "Filmmaker Lorraine Barbette breaks off her engagement and flies to Senegal to shoot a career-making documentary. While there, she meets and is attracted to a handsome diplomat."@en
  • "Kinyume na matarajio ya familia yake, Lorraine Barbette mtengenezaji filamu mzaliwa wa Mississipi anajikuta akivunja uchumba wake namwanaume asiyempenda na kukimbilia mji unaovutia wa Senegal ili kutengeneza filamu halisi ya kiutamaduni . Kisha kijana mtanashati asiye na kifani mwanadiplomasia Momar Diallo anauteka moyo wake. Mwenye msimamo mkali wa kuilinda nchi yake, Momar ana wasiwasi na filamu hiyo lakini anatekwa na hisia kali za mapenzi kwa Loraaine .Kadiri penzi linavyozidi kuwaleta karibu zaidi migongano yao ya kitaaluma nakiutamaduni nayo inazidi kuwatenganisha. Wanaweza kumaliza tofauti hizi kwa kusikiliza sauti za ajabu ambazo zinanong'ona kwenye nyoyo zao na kudai hatma yao ya kuishi pamoja."

http://schema.org/genre

  • "Canadian fiction"@en
  • "Fiction"@en
  • "Love stories"@en
  • "Love stories"
  • "Fiction"
  • "Electronic books"@en
  • "Electronic books"

http://schema.org/name

  • "Minong'ono mchangani"
  • "Whispers in the Sand"
  • "Whispers in the sand"@en
  • "Minong'ono Mchangani (Whispers in the Sand)"@en